Mwaka mpya mambo mapya. Je ni msanii gani atawika mwaka huu wa 2014? Ungana na DJ Edu kutoka BBC Radio 1Xtra akitazama mwelekeo wa wasanii wa Afrika ambao muziki wao huenda ukapata umaarufu mwaka huu.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results